‏ Psalms 19:10

10 aNi za thamani kuliko dhahabu,
kuliko dhahabu iliyo safi sana,
ni tamu kuliko asali,
kuliko asali kutoka kwenye sega.
Copyright information for SwhNEN