‏ Psalms 18:12

12 aKutokana na mwanga wa uwepo wake
mawingu yalisogea,
ikanyesha mvua ya mawe
na umeme wa radi.
Copyright information for SwhNEN