Psalms 150:3-5
3 aMsifuni kwa mvumo wa tarumbeta,
msifuni kwa kinubi na zeze,
4 bmsifuni kwa matari na kucheza,
msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,
5 cmsifuni kwa matoazi yaliayo,
msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Copyright information for
SwhNEN