‏ Psalms 15:4

4 aambaye humdharau mtu mbaya,
lakini huwaheshimu wale wamwogopao Bwana,
yule atunzaye kiapo chake
hata kama anaumia.
Copyright information for SwhNEN