Psalms 149:7-9
7 aili walipize mataifa kisasi
na adhabu juu ya mataifa,
8 bwawafunge wafalme wao kwa minyororo,
wakuu wao kwa pingu za chuma,
9 cili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao.
Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote.
Msifuni Bwana.
Copyright information for
SwhNEN