‏ Psalms 148:2-3

2 aMsifuni, enyi malaika wake wote,
msifuni yeye, enyi jeshi lake lote la mbinguni.
3 bMsifuni yeye, enyi jua na mwezi,
msifuni yeye, enyi nyota zote zingʼaazo.
Copyright information for SwhNEN