‏ Psalms 148:14

14 aAmewainulia watu wake pembe,
Pembe hapa inawakilisha mwenye nguvu, yaani mfalme.

sifa ya watakatifu wake wote,
ya Israeli, watu walio karibu na moyo wake.

Msifuni Bwana.
Copyright information for SwhNEN