‏ Psalms 146:6

6 aMuumba wa mbingu na nchi,
na bahari na vyote vilivyomo ndani yake:
Bwana anayedumu kuwa mwaminifu
milele na milele.
Copyright information for SwhNEN