‏ Psalms 143:7


7 aEe Bwana, unijibu haraka,
roho yangu inazimia.
Usinifiche uso wako,
ama sivyo nitafanana na wale washukao shimoni.
Copyright information for SwhNEN