‏ Psalms 143:3


3 aAdui hunifuatilia,
hunipondaponda chini;
hunifanya niishi gizani
kama wale waliokufa zamani.
Copyright information for SwhNEN