‏ Psalms 136:19-21

19 aSihoni mfalme wa Waamori,

Fadhili zake zadumu milele.
20 bOgu mfalme wa Bashani,

Fadhili zake zadumu milele.
21 cAkatoa nchi yao kuwa urithi,

Fadhili zake zadumu milele.
Copyright information for SwhNEN