‏ Psalms 136:18-20

18 aNaye aliwaua wafalme wenye nguvu,

Fadhili zake zadumu milele.
19 bSihoni mfalme wa Waamori,

Fadhili zake zadumu milele.
20 cOgu mfalme wa Bashani,

Fadhili zake zadumu milele.

Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.