‏ Psalms 136:17-21

17 aAmbaye aliwapiga wafalme wenye nguvu,

Fadhili zake zadumu milele.
18 bNaye aliwaua wafalme wenye nguvu,

Fadhili zake zadumu milele.
19 cSihoni mfalme wa Waamori,

Fadhili zake zadumu milele.
20 dOgu mfalme wa Bashani,

Fadhili zake zadumu milele.
21 eAkatoa nchi yao kuwa urithi,

Fadhili zake zadumu milele.
Copyright information for SwhNEN