‏ Psalms 135:10-12

10 aAliyapiga mataifa mengi,
na akaua wafalme wenye nguvu:
11 bMfalme Sihoni na Waamori,
Ogu mfalme wa Bashani
na wafalme wote wa Kanaani:
12 cakatoa nchi yao kuwa urithi,
urithi kwa watu wake Israeli.
Copyright information for SwhNEN