‏ Psalms 132:13-14


13 aKwa maana Bwana ameichagua Sayuni,
amepaonea shauku pawe maskani yake:
14 b“Hapa ni mahali pangu pa kupumzika milele na milele;
hapa ndipo nitakapoketi nikitawala, kwa sababu nimepaonea shauku:
Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.