‏ Psalms 125:3


3 aFimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi
waliopewa wenye haki,
ili wenye haki wasije wakatumia
mikono yao kutenda ubaya.
Copyright information for SwhNEN