Psalms 12:1-2
Kuomba Msaada
Kwa mwimbishaji. Mtindo wa sheminithi. Zaburi ya Daudi.
1 a Bwana tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka;waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu.
2 bKila mmoja humwambia jirani yake uongo;
midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu.
Copyright information for
SwhNEN