‏ Psalms 119:73

Haki Ya Sheria Ya Bwana

73 aMikono yako ilinifanya na kuniumba,
nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako.
Copyright information for SwhNEN