a
Za 39:8
;
119:2
Psalms 119:22-23
22
a
Niondolee dharau na dhihaka,
kwa kuwa ninazishika sheria zako.
23
Ingawa watawala huketi pamoja na kunisingizia,
mtumishi wako atatafakari juu ya maagizo yako.
Copyright information for
SwhNEN