‏ Psalms 119:172

172 aUlimi wangu na uimbe kuhusu neno lako,
kwa kuwa amri zako zote ni za haki.
Copyright information for SwhNEN