‏ Psalms 119:114

114 aWewe ni kimbilio langu na ngao yangu,
nimeweka tumaini langu katika neno lako.
Copyright information for SwhNEN