‏ Psalms 119:104

104 aNinapata ufahamu kutoka mausia yako,
kwa hiyo ninachukia kila njia ya upotovu.
Copyright information for SwhNEN