‏ Psalms 116:14-16

14 aNitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana
mbele za watu wake wote.

15 bKifo cha watakatifu kina thamani
machoni pa Bwana.
16 cEe Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako,
mimi ni mtumishi wako,
mwana wa mjakazi wako;
Au: mwanao mwaminifu.

umeniweka huru
toka katika minyororo yangu.
Copyright information for SwhNEN