Psalms 115:9-11
9 aEe nyumba ya Israeli, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao.
10 bEe nyumba ya Aroni, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao.
11 cNinyi mnaomcha, mtumainini Bwana,
yeye ni msaada na ngao yao.
Copyright information for
SwhNEN