‏ Psalms 115:17-18

17 aSio wafu wanaomsifu Bwana,
wale washukao mahali pa kimya,
Mahali pa kimya maana yake ni Kuzimu, yaani Sheol kwa Kiebrania.

18 cbali ni sisi tunaomtukuza Bwana,
sasa na hata milele.

Msifuni Bwana.
Msifuni Bwana ni Kiebrania Hallelu Yah.

Copyright information for SwhNEN