‏ Psalms 111:10


10 aKumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima,
wote wanaozifuata amri zake wana busara.
Sifa zake zadumu milele.
Copyright information for SwhNEN