Psalms 109:9-11
9 aWatoto wake na waachwe yatima,
mke wake na awe mjane.
10 bWatoto wake na watangetange wakiomba,
na wafukuzwe kwenye magofu ya nyumba zao.
11 cMtu anayemdai na ateke vyote alivyo navyo,
matunda ya kazi yake yatekwe nyara na wageni.
Copyright information for
SwhNEN