‏ Psalms 109:9-10

9 aWatoto wake na waachwe yatima,
mke wake na awe mjane.
10 bWatoto wake na watangetange wakiomba,
na wafukuzwe kwenye magofu ya nyumba zao.
Copyright information for SwhNEN