Psalms 105:20-22
20 aMfalme alituma watu wakamfungua,
mtawala wa watu alimwachia huru.
21Alimfanya mkuu wa nyumba yake,
mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo,
22 bkuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo
na kuwafundisha wazee wake hekima.
Copyright information for
SwhNEN