‏ Psalms 104:6-9

6 aUliifunika kwa kilindi kama kwa vazi,
maji yalisimama juu ya milima.
7 bLakini kwa kukemea kwako maji yalikimbia,
kwa sauti ya radi yako yakatoroka,
8 cyakapanda milima, yakateremka mabondeni,
hadi mahali pale ulipoyakusudia.
9 dUliyawekea mpaka ambao hayawezi kuuvuka,
kamwe hayataifunika dunia tena.
Copyright information for SwhNEN