‏ Psalms 104:33


33 aNitamwimbia Bwana maisha yangu yote;
nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi.
Copyright information for SwhNEN