‏ Psalms 104:29

29 aUnapoficha uso wako,
wanapata hofu,
unapoondoa pumzi yao,
wanakufa na kurudi mavumbini.
Copyright information for SwhNEN