‏ Psalms 104:2-4

2 aAmejifunika katika nuru kama vile kwa vazi,
amezitandaza mbingu kama hema
3 bna kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji.
Huyafanya mawingu kuwa gari lake,
na hupanda kwenye mbawa za upepo.
4 cHuzifanya pepo kuwa wajumbe
Au: malaika.
wake,
miali ya moto watumishi wake.
Copyright information for SwhNEN