‏ Proverbs 9:12

12 aKama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo;
kama wewe ni mtu wa mzaha,
wewe mwenyewe ndiwe utateseka.”
Copyright information for SwhNEN