‏ Proverbs 8:34

34 aHeri mtu yule anisikilizaye mimi,
akisubiri siku zote malangoni mwangu,
akingoja kwenye vizingiti vya mlango wangu.
Copyright information for SwhNEN