‏ Proverbs 8:23-26

23 aniliteuliwa tangu milele,
tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa.
24 bWakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa,
wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji;
25 ckabla milima haijawekwa mahali pake,
kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa,
26 dkabla hajaumba dunia wala mashamba yake
au vumbi lolote la dunia.
Copyright information for SwhNEN