‏ Proverbs 7:26-27

26 aAliowaangusha ni wengi;
aliowachinja ni kundi kubwa.
27 bNyumba yake ni njia kuu iendayo kaburini,
Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.

ielekeayo chini kwenye vyumba vya mauti.
Copyright information for SwhNEN