Proverbs 4:5-8
5 aPata hekima, pata ufahamu;usiyasahau maneno yangu wala usiyaache.
6 bUsimwache hekima naye atakuweka salama;
mpende, naye atakulinda.
7 cHekima ni bora kuliko vitu vyote; kwa hiyo jipe hekima.
Hata ikikugharimu vyote ulivyo navyo, pata ufahamu.
8 dMstahi, naye atakukweza;
mkumbatie, naye atakuheshimu.
Copyright information for
SwhNEN