Proverbs 4:24-27
24Epusha kinywa chako na ukaidi;weka mazungumzo machafu mbali na midomo yako.
25 aMacho yako na yatazame mbele,
kaza macho yako moja kwa moja mbele yako.
26 bSawazisha mapito ya miguu yako
na njia zako zote ziwe zimethibitika.
27 cUsigeuke kulia wala kushoto;
epusha mguu wako na ubaya.
Copyright information for
SwhNEN