‏ Proverbs 3:8-9

8 aHii itakuletea afya mwilini mwako,
na mafuta kwenye mifupa yako.

9 bMheshimu Bwana kwa mali zako na
kwa malimbuko ya mazao yako yote;
Copyright information for SwhNEN