‏ Proverbs 3:25-26


25 aUsiogope maafa ya ghafula
au maangamizi yanayowapata waovu,
26 bkwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako
na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego.
Copyright information for SwhNEN