‏ Proverbs 27:11


11 aMwanangu, uwe na hekima,
nawe ulete furaha moyoni mwangu,
ndipo nitakapoweza kumjibu yeyote
anitendaye kwa dharau.
Copyright information for SwhNEN