‏ Proverbs 25:4-5


4 aOndoa takataka kwenye madini ya fedha,
nako ndani yake kutatokea chombo
cha mfua fedha.
5 bOndoa waovu mbele ya mfalme,
nacho kiti chake cha enzi
kitaimarishwa kwa njia ya haki.
Copyright information for SwhNEN