‏ Proverbs 25:12


12 aKama vile kipuli cha dhahabu
au pambo la dhahabu safi,
ndivyo lilivyo karipio la mtu mwenye hekima
kwa sikio lisikilizalo.
Copyright information for SwhNEN