‏ Proverbs 23:19-21


19 aSikiliza, mwanangu na uwe na hekima,
weka moyo wako kwenye njia iliyo sawa.
20 bUsiwe miongoni mwa wanywao mvinyo,
au wale walao nyama kwa pupa,
21 ckwa maana walevi na walafi huwa maskini,
nako kusinzia huwavika matambara.
Copyright information for SwhNEN