‏ Proverbs 22:26-27


26 aUsiwe mwenye kupana mikono katika rehani,
au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni.
27 bKama ukikosa njia ya kulipa,
kitanda chako
kitachukuliwa ukiwa umekilalia.
Copyright information for SwhNEN