Proverbs 2:20-22
20 aHivyo utatembea katika njia za watu wema
na kushikamana na mapito ya wenye haki.
21 bKwa maana wanyofu wataishi katika nchi,
nao wasio na lawama watabakia ndani yake.
22 cBali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi,
nao wasio waaminifu watangʼolewa kutoka humo.
Copyright information for
SwhNEN