‏ Proverbs 2:10-11

10 aKwa maana hekima itaingia moyoni mwako,
nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako.
11 bBusara itakuhifadhi
na ufahamu utakulinda.

Copyright information for SwhNEN