‏ Proverbs 15:31-32


31 aYeye asikilizaye maonyo yatoayo uzima
atakuwa miongoni mwa wenye hekima.

32 bYeye anayedharau maonyo hujidharau mwenyewe,
bali yeyote anayekubali maonyo hupata ufahamu.
Copyright information for SwhNEN