‏ Proverbs 12:6


6 aManeno ya waovu huotea kumwaga damu,
bali maneno ya waadilifu huwaokoa.
Copyright information for SwhNEN